HELLO!
HABARI ZA MAJUKUMU?
You tube kuna mafundisho mengi ya Neno la Mungu ila najua wengi tunapata changamoto kwenye namna ya kudowload hayo mafundisho na nyimbo za Injili. karibu tujifunze jinsi ya kudowload videos kutoka You tube
bila kutumia downloader (application)
bila kutumia downloader (application)
KARIBU!
STEPS;
- Fungua browser yako
- Tafuta you tube aidha kwa kusearch au kwa njia ambayo wewe umezoea kuitumia kulingana na browser yako…
- Baada ya you tube kufunguka katika search bar ya you tube ingiza jina la video unayoitaka
- Zitatokea search results kadhaa, chagua unayoitaka, ibofye (click it)
- Baada ya kufunguka hakikisha kama kweli ndio video yenyewe
- Kisha bonyeza “Enter” kwenye keyboard yako……
- utaona Imetokea savenet from…hapo chini kuna “Download”
- Bonyeza “download”…..na tayari video yako itaanza kudowload
Unaweza kuchagua format unayopenda hapo kwenye download……………………………..
UNAWEZA PIA KUJIFUNZA HAYA;
MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOA AU KUOLEWA-CHRISTOPHER MWAKASEGE
MAFUNDISHO MAALUMU KWA VIJANA
By
Christopher Mwakasege.
By
Christopher Mwakasege.
Wiki ya Nne
Jambo la Nne
No comments:
Post a Comment