HALLELUJAH

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! Nakusalimu mtu wa Mungu. karibu katika ukurasa huu maalumu kwa ajili ya mafundisho ya Neno la Mungu, naamini utajifunza na kujengeka kiroho.

"Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkishukuru Mungu Baba kwa yeye."
wakolosai 3;16,17

Wednesday 24 August 2016

MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYAUAMUZI WA KUOA AU KUOLEWA

MAFUNDISHO MAALUM KWA VIJANA

By Mwalimu Christopher Mwakasege
Wiki ya Kumi na Moja
Jambo la Kumi na Moja; Uko tayari kuishi katika hiyo ndoa kwa muda gani?
 Sasa ninakupa siri hapa ikusaidie, Kama umekaribia – karibia

MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYAUAMUZI WA KUOA AU KUOLEWA

MAFUNDISHO MAALUM KWA VIJANA
By Mwalimu Christopher Mwakasege

Wiki ya Kumi
Jambo la Kumi; Uko tayari kuzaa, kutunza na kulea watoto wangapi?
Niliuliza vijana fulani ambao ndio wametoka tu

MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYAUAMUZI WA KUOA AU KUOLEWA

MAFUNDISHO MAALUM KWA VIJANA

By Mwalimu Christopher Mwakasege

Wiki ya Tisa
Jambo la Tisa; Uko tayari kuoa au kuolewa lini, maana yake nimuda gani ambao ungetaka kuoa au kuolewa?
Utasikia mwingine anasema, siku Mungu atakapo nipa mume au mke, hii ni hatari

MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYAUAMUZI WA KUOA AU KUOLEWA

MAFUNDISHO MAALUM KWA VIJANA

By
Mwalimu Christopher Mwakasege
Wiki ya Nane
Jambo la Nane; “Je! Uko tayari kuolewa na nani”
Wengine hawafikirii namna hiyo, ukiwauliza uko tayari kuolewa na nani, anasema na mtu

MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOA AU KUOLEWA

MAFUNDISHO MAALUM KWA VIJANA

By 
Mwalimu Christopher Mwakasege
Wiki ya Saba
Jambo la Saba; Je! Uko tayari kuoa au kuolewa?
Ni swali muhimu, uko tayari, maana yake umefika mahali hali yako ya ndani na nje, inakuruhusu kuoa au

Tuesday 23 August 2016

MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOA/KUOLEWA-JAMBO LA SITA-MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE

MAFUNDISHO MAALUMU KWA VIJANA
By
Christopher Mwakasege.
Wiki ya Sita
Jambo la Sita
Uamuzi wa kuoa au kuolewa unaweza wakati mwingine kukuletea marafiki au maadui.

MAMBO YA KUTAFAKARI KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOA/KUOLEWA-JAMBO LA NNE-MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE

MAFUNDISHO MAALUMU KWA VIJANA
 
By
Christopher Mwakasege.
Wiki ya Nne
Jambo la Nne
Uamuzi wa kuoa au kuolewa ni muhimu uwe mwangalifu nao,kwa sababu utakufanya uwajibike zaidi.

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA UAMUZI WA KUOA/KUOLEWA-MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE

MAFUNDISHO MAALUMU KWA VIJANA

By
Christopher Mwakasege

Wiki ya Pili
Jambo la Pili
Unapoamua kuoa au kuolewa, fahamu ya kwamba hiyo ndoa inakuunganisha na kukuingizakatika familia nyingine.

Popular Posts

Pageviews

WASILIANA NASI

Name

Email *

Message *