HALLELUJAH

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! Nakusalimu mtu wa Mungu. karibu katika ukurasa huu maalumu kwa ajili ya mafundisho ya Neno la Mungu, naamini utajifunza na kujengeka kiroho.

"Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkishukuru Mungu Baba kwa yeye."
wakolosai 3;16,17

Friday 19 August 2016

Jinsi ya kudowload videos kutoka You tube bila kutumia downloader (application)


HELLO!

HABARI ZA MAJUKUMU?
You tube kuna mafundisho mengi ya Neno la Mungu ila najua wengi tunapata changamoto kwenye namna ya kudowload hayo mafundisho na nyimbo za Injili. karibu tujifunze jinsi ya kudowload videos kutoka You tube

Monday 15 August 2016

Mwakasege Semina ya mwanza day 1(3-7-2016)-Jifunze jinsi Mungu anavyoongea






Unaweza kubofya hapa ili kuona mfululizo kamili wa somo

Popular Posts

Pageviews

WASILIANA NASI

Name

Email *

Message *